Simba vs Dodoma jiji FA Cup robo fainali
Simba SC imekua na wakati mzuri kwa kipindi cha hivi karibuni kufatia uwekezaji mkubwa uliofanywa na Mohamedi Dewji (MO) akisema msemaji wa mabingwa hao watetezi wa Ligi kuu Tanzania bara Haji Manara (Bugati) "hakuna timu inayotutisha iwe Tanzania,Africa mashariki na kati na tupo tayari kucheza na timu yoyote duniani na tunauwezo wa kupata matokeo".
No comments