Droo ya robo fainali FA Cup hii hapa
Simba uso kwa uso ....Yanga warudiana tena
Droo hii imefanyika mubashara Azam sports 1 leo tarehe 11 may 21 majira ya saa 1100 asubuhi huku Simba wakipata bahati ya kuchezea nyumbani vs Dodoma jiji ambao kwa kipindi cha hivi karibuni wameshindwa kupata matokeo mbele ya mnyama mkali (Simba SC) ambae kwa sasa yupo nchini Africa ya kusini kucheza mchezo wake wa kombe la Africa hatua ya robo fainali vs Kaizer chiefs ambao utachezwa tarehe 15 mwezi huu siku ya Jumamosi
No comments