Singida vs Mwadui kutambiana
Matajiri wa mjini singida klabu ya singida united imesema kuwa maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Mwadui fc yamekamlika kila kitu kipo sawa huku klabu hiyo ikisema itaingia uwanjani kupambana kuhakikisha wanapata point 3 Mchezo huu utapigwa saa nane mchana
Singida united wanaingia uwanjani wakikumbuka kipigo kutoka kwa Mwadui mechi ya kwanza kabisa ya VPL ambapo walitoka 2-1 Mwadui akiibuka mshindi
Kocha wa singida united Hance pluijin amesema mshambuliaji wao Dany Usengimana yuko fit kwa mchezo
No comments