Google AdSense

Breaking News

Yanga kuwakosa nyota wake 6 kwenye mchezo wao dhidi ya Azam Fc leo Jumamosi


Yanga anakutana na Azam Fc leo.

Timu ya Yanga SC imekuwa ikikumbwa na matatizo ya wachezaji wake nyota kuandamwa sana na majeruhi leo tena kwenye mchezo wao mgumu dhidi ya Azam Fc Yanga inalazimika kuingia uwanjani huku wakiwakosa nyota wao 6 ambao ni:,

Ngonyani 
Kamusoko
Buswita 
Ngoma 
Tambwe 
Mkomola 
Ikumbukwe Yanga wako nafasi ya 3 wa msimamo wa ligi kuu bara huku Azam Fc wakiwa nafasi ya pili kwa tofauti ya pointi 5 huku simba SC  wakiongoza ligi kwa jumla ya pointi 32 na Azam Fc wana pointi 30 huku Yanga akiwa na pointi 25 mtibwa akishika nafasi ya nne Kwa utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa akiwa na point 25 bila kusahau Singida united timu ambayo imepanda daraja na imekuwa ikifanya vizuri wanashika nafasi ya 5 Wakiwa na point 24 kwa hyo kwa maana hiyo ligi ya bongo inaonesha ni jinsi gani ilivyo na ushindani mkubwa kwa utofauti wa pointi kidogo kidogo kutoka timu hadi timu

Endelea kufutilia blog yetu ili  kupata kila kinachojiri hapa bongo na duniani kote pia share na marafiki wapate updates zote zinazojiri.

Kumbuka Jumbeonline.com tunakuletea live kabisa matangazo ya mechi zote hapa bongo na ulaya

No comments