Dakika ya 3 Azam wameandika goli la kuongoza kupitia mshambuliaji wao Shabani Idd Chilunda akimalizia pass nzuri ya Brus Kangwa. Licha ya goli hilo pia Azam Fc wana ones wanaonesha mchezo mzuri wakiongoza posession
No comments