Google AdSense

Breaking News

TANZIA : Golikipa wa Rayon Sport ya Rwanda afariki dunia


 Klabu ya Rayon sports kutoka Rwanda inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa golikipa wake nambari moja Mutuyimana Evariste. 

Taarifa kutoka kwa wauguzi zinasema kuwa Evariste kwa muda mrefu alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kifafa hali iliyowapelekea wauguzi kuwa karibu na yeye Kwa ajili ya kumsaidia.





 Mmoja wa viongozi amesema kuwa yawezekana Evariste alishikwa na ugonjwa wake akiwa peke yake hivyo kukosa mtu wa kumsaidia kumpeleka hospital.

Ama tukumbuke golikipa huyu ndiye  aliyedaka mechi kati ya Simba na Rayon Sport mchezo wa kirafiki siku ya Simba day

No comments