Matokeo ya mechi za jana EPL na msimamo wa ligi 2017
MAMBO YALIKUWA HIVI;
Kubwa kuliko Ilikuwa ni matokeo ambayo hayakutegemewa na wengi baada ya Liverpool (majogoo wa Jiji) kukubali KICHAPO cha mbwa mwizi cha magoli mengi zaidi toka kwa Manchester city Mechi ambayo ilichezwa mapema kabisa
MATOKEO YALIKUWA HIVI
Man city 5-0 Liverpool
Southampton 0-2 Watford
Arsenal 3-0 Bournemouth
Everton 0-3 Tottenham
Leicester 1-2 Chelsea
Brighton 3-1 West Brom
Stoke 2-2 Man u
MSIMAMO;
No comments