Google AdSense

Breaking News

Matokeo mechi za jana VPL na msimamo wa ligi 2017


 Baada ya kubadilishwa sana kwa RATIBA mechi ya simba na azam mashabiki hawakuchoka kusubiri mana mwanzo tulijua mechi ni tarehe 6 September lakini mechi ilisogezwa hadi tarehe 9 September tukasema haya shida yetu tushuhudie nani ni nani kwa mwenzake,wakasema mechi ichezwe saa moja sisi hata saa saba usiku tutakuja tu ikaja tena ooh! Basi mechi inachezwa saa kumi alasiri tukasema naam nasisi tulitaka ivo
Kumbe mbwembwe zote pamoja na kubanana kote mana ule uwanja kwa kweli hatuwezi kujiachia dakika zote 90 hatujashuhudia hata goli la offside 
Hawa jamaa walikuwa nguvu sawa.

MATOKEO;

SIMBA 0-0 AZAM
PRISON 2-2 MAJIMAJI



MSIMAMO;

Usisahau kusubscribe blog yetu upate kila linalojiri
0716 05 28 80

No comments