Audio | P the MC ft Ngwair - Mademu wangu | Mp3 Download
"Baada ya hayati Ngwair kufanya wimbo uitwao MADEMU WANGU, kwa heshima yangu kwake nikapendekeza kurudia wimbo huo kwa kutumia mashairi yangu, kwa bahati nzuri uongozi wa Bongo Records chini ya P Funk umeridhishwa na kazi yangu hivyo kunipa Go Ahead. Mixing imefanywa na mtayarishaji Palla. Ahsanteni na naomba muupokee
No comments