Yanga wafanya yao wainyuka Stand united mabao 3-1
Yanga wamerudi nafasi ya pili baada ya kuwafunga Stand united leo kwa magoli matatu kwa moja magoli ambayo yamewekwa kimiani na Ibrahim Ajib ,Chirwa na Yusuf Mhilu kwa ushindi huo yanga inawafikia Simba kwa point ila wanazidiwa kwa magoli yakutosha japo Wekundu hao wa msimbazi wana mchezo mmoja mkononi
No comments