Google AdSense

Breaking News

Rambo amefariki?





Muigizaji wa filamu maarufu nchini Marekani Sylvester Stallone maarufu kama Rambo aliyefanya vizuri na filamu zake kama RAMBO na THE EXPENDABLES Leo katika mitandao ya kijamii taarifa zimesambaa kua staa huyo amefariki Dunia.


Kupitia mtandao wake wakijamii wa Twitter Sylvester Stallone amekanusha taarifa hizo na kuwalaumu watu wanaoneza taarifa hizo. Hii ni mara ya pili Rambo anasambaziwa taarifa mbaya katika mitandao ya kijamii kwamba amefariki Dunia.

Hivyo kwa wale mashabiki waliokua na wasiwasi juu ya kifo cha Rambo,Uhakika ni kwamba taarifa hizo sio za kweli ni habari mbaya tu zinazoea.

No comments