Yanga vs Azam kila mmoja ajinadi kufanya vizuri
KUELEKEA MCHEZO MKALI
Yanga wajinadi kufanya vizuri kwenye mchezo wao dhidi ya mahasimu wao Azam Fc ambao wamekuwa wakiwasumbua sana mabingwa watetezi hao kila wanapokutana na Azam pia wanasema wamejiandaa vizuri na mechi hiyo kubwa ambayo kwao wanachohitaji ni pointI tatu na si vinginevyo.
Yanga anakwenda kukutana na Azam Fc akiwa nafasi ya 3 akijikusanyia juma ya point 25 nyuma ya Azam Fc wenye point 30 huku wekundu wa msimbazi Simba SC wakiwa nafasi ya kwanza wakikusanya pointi 32
No comments