Mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mpira Tanzania kati ya Yanga na Azam Fc umemalizika hivi punde huku Yanga wakiibuka na ushindi wa magoli 2 kwa 1
Magoli yakifungwa na Chirwa dk ya 30 pamoja na Gadiel Michael dk 44 huku upende wa Azam goli likifungwa na Shabani Idd Chilunda
Mtibwa vs Mbeya city matokeo yamekwenda kwa 0 - 0
Huku Mwadui akitoka sare ya 2 - 2 dhidi ya Njombe Mji
Tazama magoli yote ya Azam vs Yanga VPL
Reviewed by Jumbeonline
on
January 27, 2018
Rating: 5
No comments