Magoli yote ya Simba vs Majimaji, Singida united vs Prison VPL
Mchezo wa Simba vs Majimaji (4-0)
Timu ya Simba imefanikiwa kuibuka kidedeo kwa magoli 4 - 0 dhidi ya Majimaji ya Songea mchezo ukitawaliwa kwa asilimia 61 dhidi ya 39
Wafungaji ni Boko magoli mawili yote akifunga kipindi cha kwanza Lakini magoli mengine mawili yalifungwa na Okwi kipindi cha pili cha mchezo
Mchezo wa Singida united vs Prison (1-0)
No comments