Yanga wameenda mapumziko kwa kifua mbele kufanikiwa kufunga magoli mawili kwa moja Wafungaji ni Chirwa dk 30 Mbaga dk 45 Huku Shabani Idd Chilunda akitangulia kufunga goli pekee la Azam
No comments