Google AdSense

Breaking News

HATIMA YA SIMON MSUVA,OBREY CHIRWA NA DEUS KASEKE


Read more:,


Kamati ya Nidhamu ya shirikisho la Soka nchini Tanzania  (TFF) limetoa maamuzi ya kuwa kuwaruhusu wachezaji  Obrey Chirwa wa Yanga pamoja na DEUS kaseke  wa Singida United kuzitumikia timu zao kama kawaida
Hata hivyo kamati hiyo ilimpata na hatia Simon msuva ya kumwangusha mwamuzi wa mpambano dhidi ya yanga na mbao ambao ulikuwa ni mchezo wa mwisho wa VPL na Mbao kutoka kidedea Kwa goli 1 baada ya beki wa Yanga Vicent Andrew (Dante) kujifunga
Kamati imesema Msuva alitakiwa kufungiwa michezo mitatu pamoja na onyo kali
Kwahiyo kamati imesema it itamwandikia barua ya Onyo Msuva kwa kuwa alishatumikia adhabu ya kukosa michezo mitatu wakati wa mashindano ya Sport pesa wakati huo akiwa bado mchezaji wa Yanga

No comments